Sports

MRITHI wa mikoba ya mshambuliaji, Jean Baleke ambaye anaondoka akiwa namba moja kwenye utupiaji ndani ya ligi akiwa katupia mabao 8, Michael Fred ana balaa kutokana na rekodi zake. Ni Michael Fred raia wa Ivory Coast anatajwa kubeba mikoba ya Baleke ambaye hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba kwa msimu wa 2023/24 kwenye mechi zilizobaki […]

Kocha wa timu ya taifa ya Senegal, Aliou Cisse alipata matatizo ya kiafya, akawahishwa hospitalini kufuatia ushindi dhidi Cameroon, lakini sasa anaendelea vyema baada ya matibabu. Senegal waliendeleza mwanzo mzuri wa kutetea taji lao la Mataifa ya Afrika kwa ushindi wa mabao 3-1 na kutinga kibabe hatua ya 16 Bora. Hata hivyo Cisse alipata tatizo […]

Kocha mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha baada ya kutoka Ligi ya Mabingwa, leo atakuwa na mtihani mwingine kwenye Ligi Kuu Bara dhidi ya Kagera Sugar utakaochezwa leo saa 10:00 jioni katika uwanja wa Uhuru. Benchikha amekaa benchi kwenye mechi mbili za Simba dhidi ya Jwaneng Galaxy 0-0 na Wydad ambayo walifungwa 1-0. Katika mechi hizo […]

Mwamuzi wa Ligi Kuu ya Uturuki apingwa ngumi usoni na rais wa klabu ya Ankaragucu kwenye mchezo uliozikutanisha klabu za Rizespor dhidi ya Ankaragucu, usiku wa Jumatatu. Tukio hilo la kushangaza lilijiri baada ya Rais wa Ankaragucu, Faruk Koca, kuvamia uwanjani baada ya mchezaji wa Rizespor, Adolfo Gaich, kufunga bao la kusawazisha dakika ya 97 […]

Klabu ya Simba imesema kuwa hatima yao ya kufuzu hatua ya makundi na kwenda robo fainali ya michuano ya Klabu Bingwa Afrika iko mikononi mwao, Desemba 19, 2023 watakapokutana na mpinzani wao, Wydad Casablanca. Hayo yamesemwa na Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Simba, Ahmed Ally baada ya kumalizika kwa mchezo wa kwanza […]

FULHAM walichokifanya dhidi ya West Ham Desemba 10 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England ilikuwa ni balaa zito.   Baada ya dakika 90 ubao wa ulisoma Fulham 5-0 West Ham huku mabao matano yakiwa kwenye mkoba wao pamoja na pointi tatu muhimu.   Ni Carlos Vinicius dakika ya 89 alikuwa mchezaji wa mwisho kukamilisha […]

MATAJIRI wa Dar Azam FC moto wa ushindi hauzimi kutokana na kuendelea pale walipoishia Novemba kupata ushindi mbele ya wapinzani wao na kukomba pointi tatu. Ipo wazi kuwa ndani ya Novemba katika mechi tatu mfululizo, mbili ambazo ni dakika 180 walicheza ugenini na kete ya kufungia mwezi ikipigwa Azam Complex zote waliibuka na ushindi. Katika mechi tatu safu ya ushambuliaji ya Azam FC ilifunga jumla ya mabao […]

KIUNGO Mshambuliaji wa Yanga, Pacome Zouzoua, ameshusha presha ndani ya kikosi hicho baada ya awali kupata majeraha ya bega, lakini sasa yupo fiti, huku mwenyewe akiahidi kuipambania timu hiyo katika michezo iliyosalia ya Ligi ya Mabingwa Afrika Kundi D. Wikiendi iliyopita, Yanga ilitoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly katika mchezo uliopigwa Uwanja […]

CLATOUS Chama, mwamba wa Lusaka ameanza kujipata taratibu baada ya kuonyesha ubora uliokosekana kwa muda mrefu ndani ya uwanja. Chini ya Roberto Oliveira, mchezo wa mwisho kufanya umwamba ilikuwa dhidi ya Power Dynamos alipofunga mabao mawili, ubao uliposoma Power Dynamos 2-2 Simba baada ya hapo hakuwa kwenye ubora wake. Ikumbukwe kwamba alikuwa ndani ya Uwanja wa Mkapa, Novemba 5, 2023, ubao uliposoma Simba 1-5 […]

Kocha mkuu mpya wa timu ya Simba Sc Abdelhak Benchikha amezungumza kwa hisia na waandishi wa habari Nina furaha kubwa kuwepo hapa. Tangu nilipoanza kuwasiliana na viongozi nilikuwa na shauku ya kuja. Jambo kubwa ambalo naomba ni mashabiki kutupa ushirikiano na naamini kupitia hilo tutafanikiwa pamoja.” “Kuna mambo mengi ambayo tayari nayajua na nimekuja na […]


Current track

Title

Artist