FULHAM WATEMBEZA MKONO HUKO

FULHAM walichokifanya dhidi ya West Ham Desemba 10 ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu England ilikuwa ni balaa zito.

 

Baada ya dakika 90 ubao wa ulisoma Fulham 5-0 West Ham huku mabao matano yakiwa kwenye mkoba wao pamoja na pointi tatu muhimu.

 

Ni Carlos Vinicius dakika ya 89 alikuwa mchezaji wa mwisho kukamilisha 5G. Raul Jiminez dakika ya 22 alifungua pazia la mabao, Willian dakika ya 31, Tosin Adarabioyo dakika ya 41 huku kamba ya nne ikifungwa na Harry Wilson dakika ya 60.

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top